LYRIC

Beka Ibrozama Changanya Lyrics

Keti nizunguke
Kila kona ya dunia
Sitopata kama wewe

Ila mama alinambia
Dunia duara
Haina kona kona

Ukitaka nakiunywa(Sawa)
Na ukitaka kuoga(Sawa)
Na hata ukimwaga
Mimi ni maji yako

Mimi kwako ni njiwa
Ushanivunja mabawa
Hata ukinichinja
Nipe maamuzi yako

Nipe nipe, nipe nipe
Kwa raha na maumivu
Nipe

Celebrity Twins

Changanya changanya
Changanya changanya
Changanya changanya
Unanifanya nichanganyikiwe

Changanya changanya
Changanya changanya
Changanya changanya

Umeniweka moyoni
Sioni sionekani
Umenificha

Kwani pesa kitu gani
Walishasema zamani
Kila kukicha

Wenye chuki chuki zao
Wapambane na hali zao

Nipe nipe, nipe nipe
Kwa raha na maumivu
Nipe

Changanya changanya
Changanya changanya
Changanya changanya
Unanifanya nichanganyikiwe

Changanya changanya
Changanya changanya
Changanya changanya


LISTEN: Beka Ibrozama Changanya Mp4

If you like “Why”, you may also like:

IVD ft Zlatan Bolanle Lyrics

Bright ft Young Killer Vinono Lyrics

Leteipa The King ft Major Lanoh Mi Amor Lyrics

Viviane Chidid Wuyuma Lyrics

Lyrix of Africa is your number 1 source for FULL and CORRECT Lyrics and TRANSLATIONS to all your favourite African songs.

| Beka Ibrozama Changanya Lyrics | | Beka Ibrozama Changanya Lyrics |

Long Hair

Added by

admin

SHARE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ADVERTISEMENT